vitz yenye cc 990 ni chacheNatafuta gari VITS new model
Namba D
Cc 990
Full AC
Isiwe imepata ajali wala kuguswa engine.
Bajeti yangu mil 5
Nicheki PM sasa hivi nikufate ulipo.
Hakuna vitz yenye cc 990
Vitz zote ni 4pistons cc 1290+
Na unataka number D then iwe new model
Kwa 5m
Hata kama mtu kafulia sidhan kama atauza kwa bei hiyo.
Otherwise iwe na matatizo
Kila la kheri.
Don't take it negatively.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kuwa Dalali si shida Mzee!View attachment 1976247
Kaka wewe ni dalali wa magari sijui nia yako nini kusema hakuna vits yenye cc 990.
Kama hujui kitu kaa kimya, weka akiba ya maneno yakoHakuna vitz yenye cc 990
Vitz zote ni 4pistons cc 1290+
Na unataka number D then iwe new model
Kwa 5m
Hata kama mtu kafulia sidhan kama atauza kwa bei hiyo.
Otherwise iwe na matatizo
Kila la kheri.
Don't take it negatively.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Na ka tecno kakoKama hujui kitu kaa kimya, weka akiba ya maneno yako
Kumbuka kila neno unalotamka utalitolea hesabu siku ya kiama.
Sawa mkuu... Wewe ulitaka kuniuzia ya aina ipi na bei gani?Kuwa Dalali si shida Mzee!
Hiyo ni vitz yaris (sidhan kama tz zipo nyingi)
Na bongo zilizopo nyingi ni clavia, RS, new model ni hizi za kawaida (old model) ambazo ni cc 1290 na 1490.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwa sasa sina vitz MzeeSawa mkuu... Wewe ulitaka kuniuzia ya aina ipi na bei gani?
Zipo vitz za cc990 labda kama hujawahi ziona au kusikia au ulikuwa hufahamuHakuna vitz yenye cc 990
Vitz zote ni 4pistons cc 1290+
Na unataka number D then iwe new model
Kwa 5m
Hata kama mtu kafulia sidhan kama atauza kwa bei hiyo.
Otherwise iwe na matatizo
Kila la kheri.
Don't take it negatively.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Sawa boss, nakuombea ufanikiwe ili usiwadharau na wengine uliowazidi.Na ka tecno kako
Mimi nakutania tu boss, usichukie.Sawa boss, nakuombea ufanikiwe ili usiwadharau na wengine uliowazidi.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Sijamaindi mkuu!Mimi nakutania tu boss, usichukie.
nicheki 0713096076, kila dili nachangamkiaSawa mkuu... Wewe ulitaka kuniuzia ya aina ipi na bei gani?
Hii hapa kwa milioni 5 na laki 7. namba C.Natafuta gari VITS new model
Namba D
Cc 990
Full AC
Isiwe imepata ajali wala kuguswa engine.
Bajeti yangu mil 5
Nicheki PM sasa hivi nikufate ulipo.
Cc ngap ngap hii mkuu.Hii hapa kwa milioni 5 na laki 7. namba C.
namba D inatembea kwa milioni 9+
nitafute 0713096076View attachment 1976984View attachment 1976985View attachment 1976986
Asante kiongoziKila la kheri...
9m ni bei ya Japan.Ongeza hela walau 9m nikupe namba D haina kipengele chochote
Haina tofauti na ya Japan.. ila ukitaka chessis andaa kuanzia 10m9m ni bei ya Japan.