Natafuta gari VITS new model

Natafuta gari VITS new model
Namba D
Cc 990
Full AC

Isiwe imepata ajali wala kuguswa engine.

Bajeti yangu mil 5

Nicheki PM sasa hivi nikufate ulipo.
Sijui kmma ni new model ama lah ila hii unaipata kwa 6.5mil
Screenshot_20211021-055933.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom