Car4Sale Toyota Vitz New Model

Mwanza sales

Senior Member
Nov 17, 2015
193
87
Habari, ninauza gari yangu aina ya Toyota Vitz New Model namba D'' Cc 1290 piston 4 ipo Mwanza bei ni 6.8M maongezi yapo,
Piga cm 0717072172 View attachment 2811444View attachment 2811441View attachment 2811440View attachment 2811442View attachment 2811443View attachment 2811445
IMG-20231109-WA0040.jpg
View attachment 2811446
 
1290 CC ni nzuri yangu ilikuwa 990 ilizingua heat nikachonga head na kuweka paper gasket jamaa wakanifuta wanaita nikawapiga NAyo fasta hapo Nyamagana ground ni gari nzuri sana
 
1290 CC ni nzuri yangu ilikuwa 990 ilizingua heat nikachonga head na kuweka paper gasket jamaa wakanifuta wanaita nikawapiga NAyo fasta hapo Nyamagana ground ni gari nzuri sana
Kweli kaka, uko sahihi hizi za piston 4 ni gari nzuri sana, na pia kwenye utumiaji wa mafuta utasahau kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom