Natafuta gari used ya kufanya taxi.. budget 3m...automatic transmission

Magari ni Mengiii
Screenshot_20190303-145746.jpeg
Screenshot_20190303-150005.jpeg
Screenshot_20190303-150217.jpeg


Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Bei siyo tatizo. Imetembea km ngapi, engine ikoje? Take care gari namba A.... usibweteke na rangi inapakwa tuu.
otherwise kila la heri
Ndo umeandika nini hapa?!?! Yaaani nyie mnaoamini kwenye namba nawatamanigi niwapige mpaka fahamu ziwarejee.

NB: ACHA ROHO MBAYA

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Dah kweli mkuu angalau Bajaj inaweza kusukuma sukuma akaweza kujikimu.
Ila kwa upande wa Taxi ya kununua milioni 3 itamsumbua sana.
Itakuwa trip moja barabarani trip moja gereji

Sent using Jamii Forums mobile app
wakati wa kununua gari used, nenda na mtaalamu akague gari kabla ya manunuzi au tumia taasisi kama NIT wafanye ukaguzi sikwepe gharama ukanunua kimeo
 
Kuna Carina Ti ipo sokoni, bei 4.6 imenyooka uspime!! Ipo arusha,sababu za kuuzwa-mmiliki anarudi nchini kwao baada ya kumaliza mkataba nchini
 
Back
Top Bottom