Natafuta gari toyota starlet (used)

KGARE

Senior Member
Jul 31, 2012
108
39
Ndugu zangu natafuta Toyota Starlet, 1,290cc, Petrol, Mileage isiyozidi 120,000km. Bado iwe in good condition tafadhali!
If you have one or you know someone please help. Niko Moshi lakini mahali popote itakapopatikana haitakuwa ni tatizo.
 
hiyo gari ninayo number CAY, rangi dark bluu , bei 7,8 millage 80,000 gari zipo zipo 2 , Rim sport s na ninazo hapa kinondoni nipigie 0657 145555 .
 
Samahani naomba kuuliza kwani ikiwa starlet mpya show room ni bei gani ndugu yangu
 
[h=2]Toyota STARLET RUFFLET F LTD[/h]Stock No: 8272-J
Available
Export size: 8.48 m[SUP]3[/SUP]
Price: USD 3,625
FOB Price: [COLOR=#D4270D !important]USD 4,250 ya mwaka 1997

[/COLOR]
 
Toyota STARLET RUFFLET F LTD

Stock No: 8272-J
Available
Export size: 8.48 m[SUP]3[/SUP]
Price: USD 3,625
FOB Price: [COLOR=#D4270D !important]USD 4,250 ya mwaka 1997
[/COLOR]

Sasa kwa nini jamaa anaiiuza yake kwa bei kubwa kama hiyo
 
ninayo starlet 4.5 milion good condition ni PM sitak dalali nataka mteja tu.
 
Nitafute nikupe starlet kali kwa bei nzuri. Niko moshi mjini. Unaweza kuikagua gari na kuitest anytime. Call/sms 0755033441
 
Back
Top Bottom