Fastercapital
Member
- Jul 25, 2019
- 82
- 242
Penginepo anagawa deal kwa wana Jf mbona umekuwa negative hivo mkuu?Mbona kma unamtaji wa kutosha.. Unakosaje connection ya hivo vitu mpaka uje hapa JF?
mtu ameweza kupata mchongo wa kupeleka tanker 10 Mzuzu,blantyre na lilongwe lkn connection ya watu wenye malori ya mafuta anaitafutia Jf.....Mbona kma unamtaji wa kutosha.. Unakosaje connection ya hivo vitu mpaka uje hapa JF?
Umeanza ku suspect jambo? Au mpaka nikupeleke CUBA kwa polepole?Natafuta gari tanker 10 za mafuta
Habari Natafuta gari za tanker za mafuta zenye vibali vya transit. Trip ni kwenda Mzuzu,blantyre na lilongwe. Zinahitajika gari 10. Malipo advance 70% ,balance 30% after offloading. Loading point- Tanga port Product: Diesel and petrol 0692595127www.jamiiforums.com
Natafuta trucks za kwenda lubumbashi
Kuna mzigo wa kontena za 40ft kwenda lubumbashi . Na return trip ni copper Nahitaji gari 20 Mawasiliano 0692595127www.jamiiforums.com
Natafuta gari 3 za kubeba kontena kwenda Zambia
Habari Natafuta gari 3, trucks za kubeba 20ft container toka hapa dar es salaam mpaka Lusaka, Zambia. Kontena zipo ICD Nyerere Road. Payment : 50% advance payment after loading Mawasiliano 0692595127www.jamiiforums.com
Natafuta Lori 5 za mizigo kutoka Dar kwenda Kolwezi
Natafuta lori 10, kutoka dar kwenda kolwezi kupitia zambia,lushi ,likasi. Tunakupa na return goods copper. Malipo: 50% advance baada ya kupakia Balance: 50% return Mobile: 0692595127www.jamiiforums.com
Wewe ni ndugu yake na Miss Natafuta ????
Yote yanawezekana. Ila hata ingekuwa wewe kwa namna vituo vya mafuta vilivyo zagaa kama uyoga ingekuchukua siku ngapi kupata connection ya wenye malori ikiwa unaweza kuwa na capital ya kujaza magari 10 na malipo ya 70%?Penginepo anagawa deal kwa wana Jf mbona umekuwa negative hivo mkuu?
Sema angeenda direct kwenye Transist company.Yote yanawezekana. Ila hata ingekuwa wewe kwa namna vituo vya mafuta vilivyo zagaa kama uyoga ingekuchukua siku ngapi kupata connection ya wenye malori ikiwa unaweza kuwa na capital ya kujaza magari 10 na malipo ya 70%?
Ahaaaa jamani jamaniNatafuta gari tanker 10 za mafuta
Habari Natafuta gari za tanker za mafuta zenye vibali vya transit. Trip ni kwenda Mzuzu,blantyre na lilongwe. Zinahitajika gari 10. Malipo advance 70% ,balance 30% after offloading. Loading point- Tanga port Product: Diesel and petrol 0692595127www.jamiiforums.com
Natafuta trucks za kwenda lubumbashi
Kuna mzigo wa kontena za 40ft kwenda lubumbashi . Na return trip ni copper Nahitaji gari 20 Mawasiliano 0692595127www.jamiiforums.com
Natafuta gari 3 za kubeba kontena kwenda Zambia
Habari Natafuta gari 3, trucks za kubeba 20ft container toka hapa dar es salaam mpaka Lusaka, Zambia. Kontena zipo ICD Nyerere Road. Payment : 50% advance payment after loading Mawasiliano 0692595127www.jamiiforums.com
Natafuta Lori 5 za mizigo kutoka Dar kwenda Kolwezi
Natafuta lori 10, kutoka dar kwenda kolwezi kupitia zambia,lushi ,likasi. Tunakupa na return goods copper. Malipo: 50% advance baada ya kupakia Balance: 50% return Mobile: 0692595127www.jamiiforums.com
Wewe ni ndugu yake na Miss Natafuta ????
hapa hakuna hata haja kunipeleka Cuba, hata amabye hana D mbili hii lzm ashtuke...Umeanza ku suspect jambo? Au mpaka nikupeleke CUBA kwa polepole?
ametuchosha huyo ndugu yako aisee....kila siku yeye anatafuta.... 😀 😀Ahaaaa jamani jamani