Natafuta gari tanker 10 za mafuta

Natafuta gari tanker 10 za mafuta

Wewe ni ndugu yake na Miss Natafuta ????
 
Umeanza ku suspect jambo? Au mpaka nikupeleke CUBA kwa polepole?
 
Penginepo anagawa deal kwa wana Jf mbona umekuwa negative hivo mkuu?
Yote yanawezekana. Ila hata ingekuwa wewe kwa namna vituo vya mafuta vilivyo zagaa kama uyoga ingekuchukua siku ngapi kupata connection ya wenye malori ikiwa unaweza kuwa na capital ya kujaza magari 10 na malipo ya 70%?
 
Sema angeenda direct kwenye Transist company.
 
Wewe ni ndugu yake na Miss Natafuta ????
Ahaaaa jamani jamani
 
Back
Top Bottom