Natafuta Gari mizila kukopa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Gari mizila kukopa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mgengeli, Oct 1, 2011.

 1. M

  Mgengeli Senior Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naitwa Mgengeli mimi ni dereva wa lori kwa muda mrefu sasa kama miaka 22 natafuta mtu au kampuni ya kuweza kunikopesha gari kubwa (lorry) ili niweze na tuweze kufanya biashara ya kusafirisha mizigo kwenda nchi za sadc na afrika ya mashariki ninao mzigo wa kusomba chokaa Tanga kupeleka Drc ya Lubumbashi ambao thamani yake per trip ni $ 9000,pia ipo mizigo mingi ya kusafirisha makasha(conteiner) kutoka katika bandari yetu ya Dsm kwenda lusaka,Na wakati wa kurudi kutoka lusaka tutapakia shaba (coper) kutoka zambia nipo tayari kuingia ubia wa asilimia 35/100 nia nikufanya kazi na wadau wote ili kupambana na umasikini na kuwa na kampuni kubwa ya usafirishaji mizigo kwa kupitia barabara
  Napatikana kwa simu +255717326072 or email msafirimgengeli@yahoo.com
   
Loading...