natafuta gari mark II used | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta gari mark II used

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by francis charles, Oct 25, 2011.

 1. f

  francis charles New Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiongozi natafuta gari mark II used sijali cha kilomita but ninataka bodi iwe safi nje na ndani ninayocash 3 million please if so contact me 0714426160
   
 2. f

  francis charles New Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mkuu kwa hiyo bei labda bajaji tena used kwa sababu mpya inaenda hadi 5M.
   
 4. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,446
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama usipokuwa na haraka utapata,ufuatilie minada ya bandarini,majembe pale mwenge na wa2 binafsi, utapata vumilia 2,,,je nilazima upate toyota mark 2? Kuna corrolla nk.
   
 5. msauzi wa bongo

  msauzi wa bongo Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu kwa bei hiyo hilo gari litakupa shida sana,utakuwa na urafiki na mfundi
   
Loading...