Wakuu habari za humu ndani nahitaji kununua gari Hurrier model ya zamani. kidogo ikiwa na matunzo bora.
1.Iwe na utumiaji mzuri wa mafuta.
2. Isiwe imewahi funguliwa injini.
3. Iwe na rangi nyeusi.
4. Ikiwa mmiliki na mtumiaji ni mwanamke naipa kipaumbele zaidi.
5. Nipo Dar malipo ni papo kwa papo.
6. Itakuwa vema endapo nitaipata kabla ya hii January kumalizika.
kwa aliye nayo tafadhali PM.
NB; Huwa sifurahishwi na mikono ya madalali.
Ahsanteni.