natafuta gal wa kumwoa,

natafuta gal wa kumwoa,

thanx kwa kunikumbusha hilo. concern yangu ni jinsi ambavyo watoa mada wanavyowakilisha interest zao humu JF. fikiria somebody of 19yrs age anatafuta wanawake humu!!! na ukifuatilia most of them ni either 'Member' or 'Junior Member'.

wewe umeanza mapenzi na umri gani??? hebu funguka.
 
kama tunafanya JF kuwa dating site tunapoteza mwelekeo wa site hii makini

Kwani kuna tatizo gani?!! we usha oa/olewa nini??!!! Hapa ndo kwenye jamii na mambo ya kijamii ndo hayo, acha hizo
 
thanx kwa kunikumbusha hilo. concern yangu ni jinsi ambavyo watoa mada wanavyowakilisha interest zao humu JF. fikiria somebody of 19yrs age anatafuta wanawake humu!!! na ukifuatilia most of them ni either 'Member' or 'Junior Member'.
wots wrong with 19yrs...issue ni huyu jamaa aliyeshindwa kudate face to face anataka dada zetu wajcommit humu..
 
Re: natafuta gal wa kumwoa,
kama tunafanya JF kuwa dating site tunapoteza mwelekeo wa site hii makini

''''Kama unasoma jamii forum kwa makini, imetengenezwa kwa namna ya kikidhi haja za watu tofauti tofauti". Hi sub section uliyo coment ni maalum kwa ajili ya kutafuta marafiki, wachumba na nk.
Nakushauri ufungue sub-section nyingine (kama za uchumi, Siasa, nafasi za kazi, Serious thinker nk zinazokuvutia..
​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom