natafuta gal wa kumwoa,

natafuta gal wa kumwoa,

Andika CV yako na vigezo vya unayemtafuta;

1. Umri wako.

2. Elimu yako.

3. Urefu wako.

4. Size ya kiuno chako.

5. Dini yako.

6. Kabila lako.

7. Namba ya kiatu/Size ya mguu.

8. Rangi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yoyo whats up how 'r doin nigga
 
Mahari sio ya mkopo kweli!! Unatisha ujue.
 
kuna kisubforum cha malavidavi ujue..

thanx kwa kunikumbusha hilo. concern yangu ni jinsi ambavyo watoa mada wanavyowakilisha interest zao humu JF. fikiria somebody of 19yrs age anatafuta wanawake humu!!! na ukifuatilia most of them ni either 'Member' or 'Junior Member'.
 
we nawe, hilo swala la member au junior memba halihuu, tushamalizana na MbwigaNyuki kabla mwaka kuisha , usiturudishe nyuma tafazali
 
Natafuta gal??
Gari au
Nenda matangazo madogo utapata
 
ndo umemzimikia au

aaa wapi check signature yangu.
Halafu mi nataka matured and gentleman sijawahi kudate na sitodate viyoyo whatsup..
Hii ni type moja yapo ya hao viyoyo whatsup
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom