Natafuta fundi wa TV

Natafuta fundi wa TV

Advice

Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7
Reaction score
0
Natafuta fundi mzuri wa TV Nina TV yangu LG 46" inawaka kwa kumwekuamwekua baadae inakaa sawa. Ila inaonyesha kama imeongeza mwanga na picha unaona kwa mbali kama kuna ukungu hivi wanajamii.
 
Tatizo hilo na mie ninalo kwenye Samsung, warrant yake ilishaisha hivyo agent hana msaada na mimi, wajuzi wanasema ninunue kioo kipya Tsh 300,000/= na fundi kama 80,000 hivi, nimeamua kurudi enzi zetu na kuagiza TV used yenye mimba
 
Mi natafuta kioo cha tcl 32' dogo kapasua
 
Back
Top Bottom