Kwa kiswahili dreadlocks ni nini? Uzi wa kiswahili huu afu ombi la kimombo inatupa tabu wazawa wa Chattle na PhD zetuHabari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima
Naomba anae jua wapi naeza nikampata fundi wa kusokota dreadlocks Kwa wanaume mkoa wa singida
Ukiniambia Na bei na contact zake itakua vizuri zaidi.
Natanguliza shukrani zangu kwenu
hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiKwa kiswahili dreadlocks ni nini? Uzi wa kiswahili huu afu ombi la kimombo inatupa tabu wazawa wa Chattle na PhD zetu
Una mpango wa kuanza kuvuta bangi?Ni kama rasta zile za diamond,lil pump,lil Yachty,lil Uzi very etc.