BabaTina JF-Expert Member Joined Aug 29, 2008 Posts 429 Reaction score 585 Dec 26, 2016 #1 Mambo vp wanajamvi...kuna jamaa angu kanipa haka kazawadi ka BEIN DECODER so nimejaribu mbinu zote za kumpata fundi wa kufunga imeshindikana...kama kuna mtu anafahamu ama yupo hapa tafadhali anahitajika haraka
Mambo vp wanajamvi...kuna jamaa angu kanipa haka kazawadi ka BEIN DECODER so nimejaribu mbinu zote za kumpata fundi wa kufunga imeshindikana...kama kuna mtu anafahamu ama yupo hapa tafadhali anahitajika haraka
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,745 Reaction score 6,656 Dec 26, 2016 #2 Watakuja muda si mrefu
BabaTina JF-Expert Member Joined Aug 29, 2008 Posts 429 Reaction score 585 Dec 26, 2016 Thread starter #3 Chief Mkwawa anahusika sana hapa
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,862 Dec 26, 2016 #4 Angepeleka jukwaa husika angsaidiwa.