Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,774
- 4,323
Wakuu habari ya kazi, naamini mko kwenye majukumu yenu ya kila siku ili mkono uemde kinywani.
Ninatumia king'amuzi cha DSTV. Tatizo nililonalo ni setting yake kupoteza connection kila mara au sijui walikosea walivotega dishi maana linasumbua sana.
Ukikaa baada ya mwezi au miezi miwili inaanza scratch badae inapoteza kabisa connection. Inabidi uite fundi, akija anaramba 20000 anaondoka. Baada ya mwezi tena tatizo lile lile hadi nimechoka sasa kutoa hela kuita fundi.
Najua huku kuna mafundi mnaweza kunisaidi jinsi ya kuwa naset mwenyewe connection ikipotea.
King'amuzi ninachotumia kimeandikwa DSTV HD model 4S.
Naomba msaada tafadhari na natanguliza shukurani zangu.