Nimerudi, Alke, but thta was new from the mall in California, vumvi ilitoka wapi? Nitafanya kama ulivyonishauri ila nataka nikuongezee more informationChakufanya hapo ni kuifungua na kupuliza vumbi,ksha chomoa na kuchomeka mkanda wa keyboard.

upo wapiNaona mafundi kwenye huu uzi wameadimika... au kv nimepiga biti kwamba nahitaji mafundi serious na sio mtu anajifanya fundi kumbe kamaliza kikozi cha wiki 2 somewhere around Magomeni!!!
mkuu embu jaribu kufanya yafuatayo, toa betri nje , then connect na chaji, ...jaribu kuwasha......Wadau natafuta fundi SERIOUS wa Laptop! Msisitizo ni hapo kwenye SERIOUS manake nina uzoefu na tech wannabe wa JF. Nina personal problems so it sucks unasumbua mtu maybe kutoka Gongo La Mboto hadi Mwenge wakati unajua kabisa huna uzoefu wa hizi kazi; kumbe unataka kujaribu!!!
Anyway, laptop husika ni HP; made in China! Nimeshindwa kusoma model yake. Hata hivyo, sijafahamu tatizo ni nini hasa, ingawaje nadhani, mosi, OS (Win10) itakuwa ime-corrupt na pili kuna tatizo kwenye power system. Hili la power ndio tatizo la msingi kwangu.
TATIZO LILIVYOTOKEA!
Ilikuwa usiku naangalia movie kwa kutumia laptop! Nilipochoka, nikaifunika tu bila kuzima nikaenda zangu kulala! Asubuhi nilipoiwasha ikafanya kama inawaka kisha ikatoa maandishi ambayo miongoni mwake yalisomeka "missing file... recovery...!" Nika-panic kweli kweli kwa sababu sikutakiwa kuishi bila laptop japo kwa saa moja!Kutokana na panic, faster nikaizima manually!
Baada ya hapo ikawa kila nikiwasha, holaa! Na mara power indicator ikawa haisomi tena! Kwavile sikuwa na suluhisho la haraka, nikalazimika kuiweka pembeni kwanza! Hadi hapa ninapoandika, ina takribani mwaka mmoja ikiwa ghalani.
Malisa, heri ya mwaka mpya. Nimepata model ya laptop yangu.DFNC-H1 (HII NI DEL LAPTOP)Ndg laptop keyboard hainaga ufundi kabisa.,yaani huwa ikiwa katika keybord one key haifanyi kazi lazima utatakiwa kubadilisha keyboard nzima... sasa sijakupata kidogo model ya computer yako..naomba uweke model number ya computer yako ili nichek kama ninayo niweze kukuwekea kama upo Dar.
Nanunua spea za laptop kwa bei nzuri..Boss ungejaribu kuweka hata picha hapa ili tuione maana umeshindwa kupata model yake maana kutibu computer model number huwa ni njia ya kujua suluhisho pia.
lakini pia kwa haraka haraka hapo tukiangalia ile siku ya kwanza ilipo kuandikia something like.....recovery..and so, so... hapo inawezekana OS ili corrupt na hapo inaweza kuwa pia HDD ili pata shida pia. Lakini pia kuna sehemu sijaweza kukuapata vzuri ulipo sema kuwa baadaye "Power indicator haisomi tena.." hapa sijui sasa ilianza kutokuonesha power haiingii baada ya mda gani? je ni siku chache kutoka siku ilipoleta shida? au ni baada ya kuiweka kwa mda ndo ukaja kuikuta na shida hiyo ya pili? kama ni baada ya mda inawezekana power adapter nayo imesha haribika, au pia battery imeharibika (maana kuna baadhi ya computer ikiharibika battery au ukiichomoa battery, ukiweka adpter (charger) huwa power indicator haiwaki)...
Mkuu me pc yangu toshiba satelite c850-b839 shida yake inawaka vizuri ila ikianza kuload kuelekea kwenye welcome screen inazima ghafla. Na ikifanikiwa kuwaka nikifungua tu apps inazima ghafla. Naitumia bila bettery ilishakufa je inaweza ikawa ndo shida. Me nahisi shida ni processor kwasababu inakoroma flani hivi kama kitu kinachemka. Kama ndo shida hiyo naweza kubadili kwa kuupgrade sababu hii pc inatumika mara nyingi apa nyumbani kwa kuchezea game. W10Boss ungejaribu kuweka hata picha hapa ili tuione maana umeshindwa kupata model yake maana kutibu computer model number huwa ni njia ya kujua suluhisho pia.
lakini pia kwa haraka haraka hapo tukiangalia ile siku ya kwanza ilipo kuandikia something like.....recovery..and so, so... hapo inawezekana OS ili corrupt na hapo inaweza kuwa pia HDD ili pata shida pia. Lakini pia kuna sehemu sijaweza kukuapata vzuri ulipo sema kuwa baadaye "Power indicator haisomi tena.." hapa sijui sasa ilianza kutokuonesha power haiingii baada ya mda gani? je ni siku chache kutoka siku ilipoleta shida? au ni baada ya kuiweka kwa mda ndo ukaja kuikuta na shida hiyo ya pili? kama ni baada ya mda inawezekana power adapter nayo imesha haribika, au pia battery imeharibika (maana kuna baadhi ya computer ikiharibika battery au ukiichomoa battery, ukiweka adpter (charger) huwa power indicator haiwaki)...
Poa poa mkuu
Bila pichaWakuu nauza laptop yangu lenovo HDD 1000 RAM 4 PROCESSOR 5 CORE 5 NAUZA LAKI 7.5 TU HAINA TATIZO LOLOTE