Natafuta fundi wa display ya Samsung s5

Natafuta fundi wa display ya Samsung s5

chingunduli

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
268
Reaction score
51
Wadau nina Samsung s5 yangu inafanya kazi tatizo ni display inatokea mistari wakati wa kuwaka na muda mwingine wakati natumia msaada please wa Fundi anaeweza kutatua hii kitu.
 
Attachments

  • 1422421127553.jpg
    1422421127553.jpg
    73.4 KB · Views: 144
Kama uko Dar kuna fundi anaitwa Sele, yupo jirani na Sapna. Ukifika maeneo yale ulizia, jamaa yuko safi sana.

Hapo siyo chini ya 120,000, jipange.
 
Nendamlimanicity ulizqwanwpoouzialuku muulizie yassin all the best
 
Kama uko Dar kuna fundi anaitwa Sele, yupo jirani na Sapna. Ukifika maeneo yale ulizia, jamaa yuko safi sana.

Hapo siyo chini ya 120,000, jipange.
120,000 simu ama,, mpwaumentisha nilienda kariakoo kuulizia FUNDI was ac makofia nimeshuka kilamtu anajiitamakofia
 
Nenda kwenye maduka ya samsung kama utabadilishiwa au kurekebishiwa bure ila nenda na document za manunuzi na isiwe imefanyiwa matengenezo
 
120,000 simu ama,, mpwaumentisha nilienda kariakoo kuulizia FUNDI was ac makofia nimeshuka kilamtu anajiitamakofia

Ndiyo bei mpwa si unaona simu yenyewe ni ya milion, fundi Sele ana ofisi yake kabisa ameweka bango.
 
Mpwa hizindiozikeukiibiwazinasemanikowapihakiyake ampena kumiyashukrani
 
Wadau nina Samsung s5 yangu inafanya kazi tatizo ni display inatokea mistari wakati wa kuwaka na muda mwingine wakati natumia msaada please wa Fundi anaeweza kutatua hii kitu.

Simu ilianguka au ilipatwa na nini? Tuanzie hapo kwanza kwani si kawaida kwa simu hiyo original ipate matatizo ya aina hiyo ikiwa ni karibu mwaka 1 tokea iwe released kwa mauzo. Assuming uliinunua ikiwa mpya.
 
Sina uhakika mkuu ila kwa kuwa nina watoto nyumbani inawezekana ilianguka yapata mwaka sasa natumia hii simu katika hali kama hiyo, tatizo la hii mistari linatokea pale ninapoiwasha tu.
 
Back
Top Bottom