Natafuta Fundi wa computer kwa ajili ya motherboard

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
882
1,282
Natafuta fundi wa computer,my pc ina tatizo,inahitajika motherboard mpya,aina ya motheboard inaitwa ASROCK G31M-S MOTHERBOARD,msaada Wakuu,kama yupo ani PM,asanteni
 
tatizo lako umekimbilia kuconclude kuwa unatafuta fundi wa computer,my pc ina tatizo,inahitajika motherboard mpya,aina ya motheboard inaitwa ASROCK G31M-S MOTHERBOARD nakushauri utafute fundi wa computer umpe hiyo pc then yeye ndiye atakayekujuisha kma motherboard ni nzima ama lah
 
Natafuta fundi wa computer,my pc ina tatizo,inahitajika motherboard mpya,aina ya motheboard inaitwa ASROCK G31M-S MOTHERBOARD,msaada Wakuu,kama yupo ani PM,asanteni

Motherboard za PC sio lazima ziwe za manufacturer fulani motherbard za PC zinaenda kwa kitu kinaitwa Form factor. Kwa kuwa unaonekana ni mtaalam google alafu utaje form factor ya motherbard yako. Ukiijua hiyo basi mwenywewe unaweza kuwa fundi la sivyo peleka kwa fundi yeye ndio atakumbia speciifation halisi za motheroboard unayohitji Kama ni kweli ina tatizo.

Vile vile Wewe unaweza kudhani motherboard imekufa kumbe kilichokufa ni power supply au power IC inayosambaza moto kwenye ubao mama. Dont rush to conclude motherboad. Kama huna vifa sahihi hata fundi radio au TV anaweza kupima kukuthibithishia kama ni ubaomama wote umekufa .....


Hiyo Link niliyokupa soma kipegele cha form factor
 
Back
Top Bottom