Natafuta Fundi wa alminium

fundibenz

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
61
Reaction score
67
Habari,kwangu kuna madirisha ya kizamani hivyo nayabadilisha taratibu,kuna fundi alinibadilishia mawili lakini hivi sasa hapatikani...hiyo nahitaji fundi wa kunisaidia nia yangu yasitofautiane rangi maana yeye alitumia alminium nyeupe.


Anichek pm. Bei alinifanyia 150 elfu kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…