Natafuta fundi ujenzi wakuu anaeweza kazi vizuri

Ninao mafundi, kuanzia chini mpaka unamaliza, tunajenga nyumba ya kawaida pia ghorofa
 
Nimekwambia unipe plot yenu ya vikunai iwe ndo mahari yangu unasitasita..!! 😹😹

Una Christmas moja umebakiza utaniita shemeji, shauri yako..!! 😹
Ya urithi ile kama unataka kutupiwa majini na wazaramo ni wew tu ila nina uhakika utaamka mzima ila utaona mambo hayaendi na kuanza kuuza vitu vya ndani kwa nusu bei
 
Ya urithi ile kama unataka kutupiwa majini na wazaramo ni wew tu ila nina uhakika utaamka mzima ila utaona mambo hayaendi na kuanza kuuza vitu vya ndani kwa nusu bei
Mi mkinga naanzaje kuogopa majini?
Wewe niibie hati hiyo ujilie vitu vya kikinga..!! πŸ€£πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
 
Mi mkinga naanzaje kuogopa majini?
Wewe niibie hati hiyo ujilie vitu vya kikinga..!! πŸ€£πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
Kazi kazi bidada kila nusu saa mm napelekaga moto haijalishi kuna mtu kala au hajala mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…