Sitta juma
Member
- Oct 4, 2016
- 44
- 24
Habari wadau,mimi ni mkazi wa singida,nina interest na kujifunza kutengeneza simu ,tv au radio lakini sina mtu wa kuniboost.
So natafuta fundi ambaye yupo tayari atanifundisha mpaka nielewe, bei tutaelewana plse nitafute kupitia itafaa zaidi akiwa hapahapa singida mjini 0767874060/0784024004