Fedora JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 238 Reaction score 173 Mar 16, 2017 #1 Habari zenu wakuu. naomba kufahamishwa ni wapi ndani ya jiji la dar es salaam nitapata fundi wa uhakika anaeweza kuflash tablet za android hasa chinese tablets. Asanteni.
Habari zenu wakuu. naomba kufahamishwa ni wapi ndani ya jiji la dar es salaam nitapata fundi wa uhakika anaeweza kuflash tablet za android hasa chinese tablets. Asanteni.