Natafuta fundi mtaalam wa ma-dish ya FTA-Mwanza

Ikena

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2007
Posts
553
Reaction score
398
Naomba mwenye contact za fundi aziweke hapa tafadhali.
 
sijaelewa unataka dish la namna gani ila kwa ushauri wangu nunua dish dogo la ft 4 na receiver mpg4.utapata chanel kibao zikiwemo local zote.mimi situmii king'amuzi wala sina mpango
 
Vp nikinunua la ft 8? naomba nipe contact za fundi wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom