Natafuta fundi magari -ford

kingtz

Member
Oct 24, 2011
36
3
Natafuta fundi wa magari mwenye uzoefu wa ford (ford focus ) gari ipo Dar es salaam haiwaki
my contact 0754479518 au mwenye contact za mafundi wazuri wa ford please provide details
 
CMC ni mawakala wa Ford kwa hapa Tanzania.

Unaweza kwenda kuwacheck.
 
karibu CMC automobiles Tanzania apa maktaba square mkuu

at your service
 
Back
Top Bottom