Mangulason Member Oct 31, 2019 77 77 Jul 4, 2023 #1 Nataka fundi anaetengeneza vifaa vya chuma mixed na mbao, mfano kitanda, meza ya jikoni, meza ya viatu nk
Nataka fundi anaetengeneza vifaa vya chuma mixed na mbao, mfano kitanda, meza ya jikoni, meza ya viatu nk
Mr simple M JF-Expert Member Sep 18, 2020 2,074 4,299 Jul 4, 2023 #2 Unamtaka wa nini umuajiri au umpe tenda