Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Yoyote anaye uza jokofu anina ya SUMSANG,piga 0656685411
Yoyote anaye uza jokofu anina ya SUMSANG,piga 0656685411
Yoyote anaye uza jokofu anina ya SUMSANG,piga 0656685411
Mods toa hii wanatujazia Jf yetu na mithread isiyo na mashiko, friji zimejaa madukani mbona?
mkuu mbona post yako haiendani na title yako kwel wewe ni jf expert member? au hujui maana ya hili jukwaa la matangazo sasa kwani hajui kama maduka yapo wewe unafahamu kwanini kaja kupost huku? muwe mnaheshimu post za wenzenu
Ninayo BOSCH,
ni ndefu,
ina milango miwili yaan juu na chini,
chini ni pa kugandishia wakati juu panapoza ile kawaida,
bei tshs. 150,000/=
if, interested here is 0715547184