Note books, diary, plastic document wallets, pens ndiyo vitu vinavyouzika sanaPande hizo kuna chuo /vyuo jirani? Maana madent ndo target japo cku hizi hawatoi copy sana wanasave kwenye smart phone
Kuna chuo cha Kampala hukoPande hizo kuna chuo /vyuo jirani? Maana madent ndo target japo cku hizi hawatoi copy sana wanasave kwenye smart phone
LAbda utafute karibu ni Chuo cha Kampala rent ni mpaka 150k.Ila kuna sehemu huku FERI Kigamboni ambako wanafunzi wa Vyuo Vya Mwalimu Nyerere,CBE,IFM etc wengi wanakaa huku kama uko interested njoo PMWakuu ninawazo la kufungua stationery eneo la gongo la Mboto DSM,japo Mmi ni mgeni kabisa, naomba kama kuna mzoefu na maeneo hayo,kuhusu bei za frem,je panalipa kwa biashara hiyo?na wazo jingine la kuboresha. Asante
Kampala chuo kiko wapi?Pande hizo kuna chuo /vyuo jirani? Maana madent ndo target japo cku hizi hawatoi copy sana wanasave kwenye smart phone
Kuna stationary nyingi sana maeneo hayoKuna chuo cha Kampala huko