Natafuta frem mabibo sokoni

Natafuta frem mabibo sokoni

Mizega

Senior Member
Joined
Feb 10, 2021
Posts
161
Reaction score
337
Kama inavyotajwa hapo juu, ninahitaji frem ya biashara mabibo sokoni kwa ajili ya biashara ya nafaka, hata nje ya sokoni pembeni mwa barabara fresh. Kama unayo njoo na ofa yako inbox.

Salaam
 
Back
Top Bottom