Natafuta frem/duka kwa ajili ya kuuza vifaa vya ujenzi-hardware

CONSULT

Senior Member
May 8, 2011
194
199
Tafadhali wana JF naomba msaada wenu kupata nafasi kwa ajili ya biashara ya hardware hasa maeneo yanayoeleweka kwa biashara hiyo DAR kama Gerezani, Kariakoo na nje kdg Mbagala, mbezi, n.k kwa kuuza cement,nondo,bati,sealing board,Hardboard,bomba, steel sheet n.k Tuma ushauri_ubunifu@operamail.com
 
Jaribu pia maeneo ya Kigamboni, naona mji unatanuka kwa kasi.
 
Back
Top Bottom