Natafuta frame ya duka(Arusha)

dibbo

Member
Feb 18, 2011
30
1
Habari zenu wana jamii natafuta frame ya duka yenye ukubwa wa square mtr 200 hata kama yapo maduka mawili ambayo yameshikana na yanaweza kuunganishwa yanafaa muhimu ukubwa uwe 200sqm,kwa yoyote alionao anipigie number hii 0715367367
 
Back
Top Bottom