Eli24
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 165
- 365
Habari Ndugu zangu wana Jamii
Nakuja mbele zenu kama kijana mwenzenu nkitafuta frame ya kufanyia biashara ya stationary katika maeneo ya Vyuo Vikuu hapa mjini Dar es Salaam.sitaki chumba kikubwa sana maana ndo biashara naanza hvyo basi kama unamfahamu au unachumba maeneo hayo Njoo Pm tubonge mchongo...au kma unashauri wowote basi usisiteee kunichek. N hayo tu