Natafuta fibre cement roof sheet.

Natafuta fibre cement roof sheet.

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,773
Reaction score
40,443
Hello JF

NAhitaji aina hizo za bati . Nataka kuezekea nyumba ya hidden roof. Naziona mara nyingi kwenye majengo ya zamani. Naona imara na hayapati kutu.

Anayefahamu nitapata wapi na bei zake pls msaada.. namba zangu 0625182788, WhatsApp, text, & normal calls.
fibre_banner_mo.webp
 
Hizo za kwenye picha ziliitwa asbestos.
Material hatari kwa afya ya binadamu. Carcinogenic material (Zinasababisha saratani).
Baadhi ya sehemu zimezuiwa kutengenezwa na matumizi yake kiujumla.

Google "is an asbestos roofing dangerous?".
 
Ohoo boss... Uhatari wake ni wakati wa utengenezaji au hata ikishakua imetumika.. naona zipo ambazo hazina hizo fibre hatari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom