Natafuta Electronics Engineer/Technician aliyeko Dar mwenye nafasi wikend hii.

Kama wewe ni mtaalam mtajwa hapo juu, na unanafasi wikend hii ya tar 25.
Naomba tuwasiliane My no. 0657992268

naweza kua Electronic eng lakini nisikidhi kile unachotaka,tena weeekend hii...............labda ungeenda mbali zaidi wa nini na lini.....
 
naweza kua Electronic eng lakini nisikidhi kile unachotaka,tena weeekend hii...............labda ungeenda mbali zaidi wa nini na lini.....
uko sawa mkuu tupo wengi humu electronics ina uwanja mkubwa kuna industrial electronics, communication electronics, laboratory electronics, analogy electronics digital electronics motor veichle electronics n.k anatakiwa afunguke zaidi aseme shida yake tumuelewe wakati mwingine tunaweza kumtatulia humu humu bila ya kufika kwake
 
Sawa kabisa wakuu, tatizo langu linabase kwenye communications. Nina router aina na CTR500 yenye USB hub kwa kuweka 3G USB modem. But naimejaribu kuunganisha haijaweza kuwasha modem na kusoma signal.





Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom