kiasi chake eeeeSio geti kali sana
Wandugu naweza pata wapo earpod orijino za apple kwa Dar es salaam.
Ipod ?Wandugu naweza pata wapo earpod orijino za apple kwa Dar es salaam.
Sio ipod mtanzania, kuna EarPods kabisa ni earbuds za kawaida tu kusikiliza music na some other few functionalitiesIpod ?
Hizo n Fake but huwezi ona fasta fasta
Mimi nimenunua hapo kwa ajili ya I pod yangu touch. Na original unakuta ina nembo ya apple imendikwa designed apple calfonia. Na maneno mengine sikumbuki vizuri maana kwa sasa nilishazipoteza mda. Fake huwa haziandikwi unakuta ni haina maneno yoyote yale.
haha mkuu hakuna kifaa cha apple ariginal utakachokipata kwa 15000 lazima hicho ni feki
Wandugu naweza pata wapo earpod orijino za apple kwa Dar es salaam.
Mimi nimenunua hapo kwa ajili ya I pod yangu touch. Na original unakuta ina nembo ya apple imendikwa designed apple calfonia. Na maneno mengine sikumbuki vizuri maana kwa sasa nilishazipoteza mda. Fake huwa haziandikwi unakuta ni haina maneno yoyote yale.
Aisee...
Kama ndo unahisi fake haziwezi kuandikwa hayo maneno basi umeliwa. Kwa ufupi ni kwamba kama hujawahi tumia genuine huwezi tofautisha na hizo fake ila kama ulishawahi basi ukiusikiliza mziki wake tuu unapata jibu.