Ni kweli most Tanzanian hawajui sana ku deal na brand pia kupata kitu genuine..
Hii bei zitakuwa siyo original aisee.Kama ni earphone za apple za masikio nenda pale sapna au posta maduka ya wahindi utakuta zinauzwa 15,000TSH.
kuna earphone za wapi pengne zaid ya maskion mkuu?Kama ni earphone za apple za masikio nenda pale sapna au posta maduka ya wahindi utakuta zinauzwa 15,000TSH.
Maneno tuu mbona hata mchina anaandika hayo maneno, hakuna apple product ya hiyo bei!Mimi nimenunua hapo kwa ajili ya I pod yangu touch. Na original unakuta ina nembo ya apple imendikwa designed apple calfonia. Na maneno mengine sikumbuki vizuri maana kwa sasa nilishazipoteza mda. Fake huwa haziandikwi unakuta ni haina maneno yoyote yale.