Natafuta dry cleaner | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta dry cleaner

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by vunjajungu, Jan 1, 2012.

 1. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wana jf,natafuta mashine ya kufulia isizidi ml 3,anaejua nitakapo ipata anijuze tafadhali,pia ningependa kujua uwezo wake.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Ungeweza kuanza kwa kuangalia mtandaoni ili uamue unataka yenye uwezo upi. Unless unataka kutoka kwa mtu anaetumia sasa. Halafu washing machine na dry cleaner ni vitu viwili tofauti.
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,329
  Likes Received: 3,533
  Trophy Points: 280
  Unahitaji ya kufanyia biashara au ya kufulia nguo za familia?
   
 4. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,236
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Title ilifanya nifikirie wamtafuta mtu akufanyie usafi wa nguo! Kumbe watafuta mashine. Google kwanza ili upate makadirio ya gharama.
   
Loading...