natafuta display ya toshiba satelite jamani

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
tafuta display ya toshiba satelite jamani,ya kwanza imepasuka so inaonesha wino tu hapa....kama kuna mdau yoyote anayo basi naomba niijue ni bei gani then tufanye biashara...pia imekufa haitoi sauti(ila tatizo ni hardware na sio driver)
 
Mpya ni 160,000
 
Ujasema TOSHIBA yako ni aina gani kwa vioo huwa vinatofauti ya upana urefu pia sema< ni model sreen " kisha tunaweza ongea biashara>>>
 
Ni vizuri sana kama utaweka na model ya hiyo toshiba maana display hutofautiana na bei pia hutofautiana
 
weka model tuthaminishe

model sijajua ....labda niwape mfano wake l305
index.jpeg
 
Back
Top Bottom