Natafuta display ya Lenovo min(10.1)

Natafuta display ya Lenovo min(10.1)

InnoDpsJose

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Habarini wanaJF.Natafuta Display ya laptop Lenovo min(10.1).Nimetafuta kwa mafundi wengi nimekosa so kwa fundi au yeyote anayefahamu zinakopatikana aniPM au anitaarifu hapo chin..Ahsanteni.
 
yangu pia imepasuka,kuna jamaa alidai anazo anapatikana agrey st,sijamuona bado ila nakupa namba zake soon
 
kuna jamaa yuko moro bila shaka atakuwa nazo, anaitwa doctor briz ngoja mtakuulizie then mta ku PM, kama mtasahau nicheck kwenye no 0715 546818
 
kuna jamaa yuko moro bila shaka atakuwa nazo, anaitwa doctor briz ngoja mtakuulizie then mta ku PM, kama mtasahau nicheck kwenye no 0715 546818

poa mkuu nakuchek
 
Back
Top Bottom