Natafuta dishi (decoder)

Evance Michael

New Member
Dec 16, 2014
4
0
Guys naomba mnielekeze ma dishi yapi(decoder) zipi ni nzur kwa matumiz ambayo azina malipo ya mwezi na kam kuna wanaotumia continetal vipi decoder hizo zina ubora kweli ....?!
 
Guys naomba mnielekeze ma dishi yapi(decoder) zipi ni nzur kwa matumiz ambayo azina malipo ya mwezi na kam kuna wanaotumia continetal vipi decoder hizo zina ubora kweli ....?!

Mahitaji ili kupata DSTV Channel na Local channel
  1. Dish la futi 6 hili linauzwa kati ya tsh 90'000 hadi 120'000
  2. LNB mbili
  3. Receiver mojawapo zilizopo hapa >> https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/723413-jipatie-qsat-q23g-hd-satellite-fta-receiver.html
  4. Cost ya Fundi kufunga dish na settings zote ni TSH 50'000 tu THEN UNAKABIDHIWA REMOTE NA KUANZA KUFURAHIA ULIMWENGU WA FTA
 
Back
Top Bottom