MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Wakuu husikeni na kichwa cha habari hapo juu.
Nina King'amuzi cha DSTV Ila sina dish, Hivyo nahitaji dish kwa mwenye nalo. Ningependa kujua na gharama zake.
Kwa mwenye nalo tuwasiliane PM
Asanteni.
Nina King'amuzi cha DSTV Ila sina dish, Hivyo nahitaji dish kwa mwenye nalo. Ningependa kujua na gharama zake.
Kwa mwenye nalo tuwasiliane PM
Asanteni.