NimekudmNaomba namba tuongee
Hapo lazima nikushushe mbona umepandisha zaidi?
Namba nakupa wapi?Naomba namba tuongee
Hapo lazima nikushushe mbona umepandisha zaidi?
Umefunga dm mkuu,,nina dereva mzuri yuko pale Jan International wanapo uza magari..mwaka 2024 nmefuata ndinga yangu,yeye ndo alinileta dom..i can recommend him kama utahitaji niwaunganishe.Naombeni connection ya dereva wa kumuendesha mtu from dar to mbeya ndani ya hii week! Kama Upo humu, Njoo na gharama zako ila usitupige!
Mzushi weweNilikuta umefunga pia! Bahati nzuri nimeshapata mtu!Asante
Nafasi bado ipo au nimechelewa? Mimi ni dereva mzoefu mtu mzima,sina mambo mengi barabarani.Naombeni connection ya dereva wa kumuendesha mtu from dar to mbeya ndani ya hii week! Kama Upo humu, Njoo na gharama zako ila usitupige!