Natafuta dawa za asili za kutibu wasiwasi

toa tips sasa uliwezaje kupona ilk wengine wajue
 
Wakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
Ingawaje haujasema wasiwasi wa nini. Usiku, lala kwenye makaburi ya wakristo kwa wiki moja, na wiki inayofuatia lala kwenye makaburi ya waislamu. Lala kama unavyolala nyumbani kwako.
 
yaani nakua na too much worries kupitiliza, pia woga wa judgement za watu. nadhani stress kupita kiasi ndo ilisababisha, sasa nimeshaathirika kisaikolojia mawazo yangu yamekua negative
I wish nikutane na wewe tunaweza kuongea tu kwa wiki moja ukapona kabisa cha muhim dont take life too serously
 
Wakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
Umeshapona wasiwasi? Kama bado nenda kanunue sabuni ya Johnson's Bed Time Baby Soap zinapatikana Pharmacy kubwa au maduka makubwa ya vitu vya watoto na ogea kila ukienda kulala. Uje utoe mrejesho hapa.
 
Mkuu hii inaukweli maana maana mke wangu pia ana wasiwasi sana ngoja ninunue nitakupa mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiwasi hasa nkiwa mbele za watu yaani huwa najihisi nakosa amani, smtimes hua najiskia kulia mbele za watu
dadah kuna kitu hujasamehe search it within yourself,then pambana na iyo hali ikatae sema ninaweza ,I can do it,am strong,pindi iyo hali inapojitokeza ,,,,,usikubali dhamira hasi ikutawale ,ikitokea dhamira hasi ongeza dhamira chanya jinenee rohoni then tumia nguvu iyo kwenye vitu vinavyo kusababishia hofu kama mjumuiko wa watu,,come pm una shida ulipata ukiwa mdogo imeathiri tabia yako,,,,your mental process is results of your overt behaviour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…