Natafuta dawa za asili za kutibu wasiwasi


low thinking capacity

low thinking capacity

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Messages
697
Points
1,000
low thinking capacity

low thinking capacity

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2018
697 1,000
Bangi ilinisaidia saana maana kuna kipindi nilikuw naongea na malaika, majini na viongoz tofaut bila wasiwas wowote
 
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,620
Points
2,000
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,620 2,000
Usitumie dawa wanasema mbaya,jaribu kukaa na watu usikae na matatizo yako moyoni yasemee ,jaribu kuwaza mambo mazuri tu
 
Old story

Old story

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
1,229
Points
2,000
Old story

Old story

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
1,229 2,000
Kwa mfano una wasiwasi na nn
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,468
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,468 2,000
Tiba asili ni mazoezi ya mwili... Haya huongeza vichocheo vinavyofanya mtu ajihisi yuko fit, hufanya mtu ajiamini, hufanya mtu ajione yuko sawa na wengine sio inferior.
 
hakuna uchawi

hakuna uchawi

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Messages
312
Points
250
hakuna uchawi

hakuna uchawi

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2018
312 250
Onana na wataalamu wa saikoji hakunaga dawa ya kienyeji ya hivo
 
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
7,972
Points
2,000
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
7,972 2,000
Its a psychological problem...haihitaji dawa za kunywa labda kibingwa bangi inaweza kutatua tatizo
Ni kweli Mimi kipindi nakula mmea mission nyingi impossible zilikuwa possible sasa toka niache hali ni tofauti
 
S Sulayman

S Sulayman

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Messages
235
Points
250
S Sulayman

S Sulayman

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2018
235 250
Wakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
NAAM KWA DAWA ZA TATIZO HILO UNAWEZA WASILIANA NAMI KWA +255 655 821 550 WHAT'S APP /CALL
 
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
10,316
Points
2,000
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
10,316 2,000
ntaipataje bangi? na bangi sio addictive?
Unataka bangi? Bangi sio mbadala wa kukutoa wasiwasi bali mpenzi/mume anauwezo wa kukujengea kujiamini na wasiwasi ukatoweka...
 

Forum statistics

Threads 1,284,103
Members 493,940
Posts 30,813,122
Top