• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Natafuta dawa za asili za kutibu wasiwasi

nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
598
Points
1,000
nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2017
598 1,000
una pepo,nenda kwenye maombi.yameshanikuta hayo ya wasiwasi
 
Hossam

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Messages
3,317
Points
2,000
Hossam

Hossam

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2011
3,317 2,000
Haha haha unawasiwasi wa nini mkuu? Usiwe na wasiwasi
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
10,145
Points
2,000
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
10,145 2,000
Its a psychological problem...haihitaji dawa za kunywa labda kibingwa bangi inaweza kutatua tatizo
hahaha
kuhairisha sio kutatua. au kuiingiza wasiwasi halftime.
ila bangi nyingine zinaweza kumfanya mdau aogope hadi sisimizi.
 
KikulachoChako

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Messages
15,289
Points
2,000
KikulachoChako

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2013
15,289 2,000
Wala ha uhitaji dawa...ni tatizo tu la kawaida sana kwa wanadamu kulingana na changamoto mbali mbali anakabiliana nazo!!!!.....

Mimi nilikabiliana na tatizo hilo kwa kusafiri sehemu ambayo sijawahi hata kufika na nilikaa huko kwa muda wa wiki mbili....ule upya wa mazingira na watu....ukaifanya akili yangu kuwa mpya na yenye mawazo mapya!!......

Jambo lingine la msingi

Don’t take people and things too seriously!!!.....

Lower your expectations towards people and things!!!......

Usipende kuweka vitu moyoni huko ni kujibebesha mzigo mzito.....ongea na watu kuhusu matatizo yako...bila kujali watakuchukuliaje kwani kati yao utapata mfariji wako.....
 
Cataliyya

Cataliyya

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Messages
782
Points
500
Cataliyya

Cataliyya

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2015
782 500
Tujuze kwanza chanzo cha huo wasiwasi ni nini hasa. Huwezi tatua tatizo bila kujua chanzo chake
yaani nakua na too much worries kupitiliza, pia woga wa judgement za watu. nadhani stress kupita kiasi ndo ilisababisha, sasa nimeshaathirika kisaikolojia mawazo yangu yamekua negative
 
Mwelewa

Mwelewa

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Messages
2,359
Points
2,000
Mwelewa

Mwelewa

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2011
2,359 2,000
Nimeona umeanzisha thread nyingi zinazofana na hii.

Nakumbuka ulileta thread hapa unatafuta tiba ya depression na wadau walijaribu kukushauri kadiri ya upeo wao.

Swali kwako. Je, ulifanyia kazi ushauri uliotolewa?

Kwauzoefu wangu watu wanaopitia matatizo ya msongo wa mawazo huwa wanashindwa kufuata ushauri wanaopewa kwa makini.

Anajaribu hili siku chache asipoona matokea anarukia jambo jingine. Na inakuwa hivyo siku zote.

Nimesoma baadhi ya thread zako na nimegundua kitu.

Wewe huna chanzo kizuri cha kukuingizia mapato na hiyo inasumbua akili yako kupelekea over thinking.

Tiba muhimu kwako si ganja au aina yoyote ya pills.

Jitahidi kutafuta kazi uwe na kipato.

Pia kama huna mwenza tafuta itasaidia kupunguza mawazo.

Mahusiano ni muhimu hasa kwa watu wanaopitia hali kama yako.
 

Forum statistics

Threads 1,403,286
Members 531,171
Posts 34,419,786
Top