Bob laidoo
Member
- Aug 19, 2019
- 49
- 18
Habari ndugu wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza: Natafuta dawa ya kufukuza na kuzuia nyoka kuja kambini kambi ambayo iko porini kwa ajili ya shughuli za uchimbaji madini
Japo kambi ndio iko kwenye mazingira yao ila kuna haja ya kuhakikisha kusiwe na muingiliano kati ya Binadam na viumbe hao hatari kwa afya zetu.
Hivyo basi napenda kutumia fursa hii kutafuta kinga (repellent) kwa ajili ya kuzuia ugeni wa viumbe hao katika mazingira ya kambi
Kwa mwenye kuwa na mchango chanya juu ya suala hili karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app