Natafuta dawa inaitwa shabu

yoyo

Member
Aug 3, 2012
19
4
Kwa anayejua anaeza niagizia,niko dar.dawa inaitwa shabu naskia unaweza kutumika kupunguza jasho la kwapa kwa mtu anaye toka na jasho sana.
 
Hiyo dawa inaitwa 'ALUM' au Aluminium Sulphate, hutumika kuondoa tope kwenye maji. Ulizia mtu yeyote anayefanya na Dawasco (Dar) au Idara ya Maji (mikoani) utapata.
 
Hiyo dawa inaitwa 'ALUM' au Aluminium Sulphate, hutumika kuondoa tope kwenye maji. Ulizia mtu yeyote anayefanya na Dawasco (Dar) au Idara ya Maji (mikoani) utapata.

mdau kidogo waniacha hoii, kupunguza kutokwa na jasho makwapani na kundoa tope kwenye maji kuna uwiano wa kutumia dawa ya ina moja kweli au mimi ndio nachanganya mambo hapa? :eek2:
 
Shabu si ile inayotumiwa kurudishia mambo fulani katika oroginal shape ili kuwapiga watu mchanga wa macho?

umenichekeshaje? haswaaa hutumika zaidi kwa hiyo kitu, hata phamancy kubwa zipo
 
mdau kidogo waniacha hoii, kupunguza kutokwa na jasho makwapani na kundoa tope kwenye maji kuna uwiano wa kutumia dawa ya ina moja kweli au mimi ndio nachanganya mambo hapa? :eek2:

ndo ivyo shabu kwa hapa dar inafanya kzi hiyo, hasa kwa wale wanauza maji, sasa kama kikwapa chako kiko ivyo hii ni hatari sana
 
ninacho kifahamu kuhusu shabu ni dawa ya kusafishia maji hasa maji ya visima uswahilini yanakuwa meupe na unaweza kuyanywa bila ya kuchemsha, kama uko dar nenda kwenye masoko ya usahilini magomeni,mwananyamala ukiuliza tu utaonyeshwa ama sehemu yenye shida ya maji wanaotumia maji ya visima.

sasa hiyo kazi nyingine mmh! ukiiweka tu kwenye maji yanakuwa yamebadilika rangi sasa uje uiweke huko kunako si utaharibu hadi maini? mambo mengine tunajitakia wenyewe haya ukienda hospitali utamwambia daktari ulifanyaje??
 
nenda kwa wadada wanafunzi wa vyuo utaipata wanatumia sana..........hasa hapa TIA Singida zipo zinauzwa sana na wadada wenyewe wanauziana ili kuweka maeneo flan kuwa tight
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom