Kwasababu mitaa imegawanyika kwa biashara tofauti. Natafuta mitaa ile wanauza vitu vya dukani, au mitaa wanauza nguo/viatu.
Sitafuti ile mitaa wanayouza hardware
Nilitaka ni-copy na ku-paste kwenye group la watu wa Arusha. Nikafkiria mtu atoke kwenye group akufate mpaka JF DM nikajikuta naacha ku-copy na ku-paste huko. Kila la heri mkuu.