Natafuta Dada wa Scrub, saloon ya kiume

Natafuta Dada wa Scrub, saloon ya kiume

KABAKA28

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
211
Reaction score
229
Habari wana Jf, last time nilitafuta house girl humu ndani, nashukuru nilimpata na tuko nae mpaka sasa anamlea mwanangu n mwezi wa tatu sasa na hakuna tatizo lolote. Asante kwa wana Jf wote.



Leo nakuja hapa natafuta dada wa kufanya scrub kwenye ka saloon kangu niliko kaanzisha hivi karibuni maeneo ya Gongolamboto mwisho wa dala dala zinazotoka mjini.
Saloon n nzuri na ina hadhi ya wastani.
Anae hitaji ani PM namba yake nimtafute tuelewane bei na namna ya kufanya kazi.
Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunataka kujua kabla ya kukupatia huyo Dada hautamtafuna? Maana huwa mnawafanya vibaya.
 
Kigezo awe na nyonyo kubwa, wateja huwa wanalaza vichwa kwenye nyonyo...
 
Kigezo awe na nyonyo kubwa, wateja huwa wanalaza vichwa kwenye nyonyo...
Duuuuhhh.

Huu uzi umenikumbusha kuna uzi ulianzishwa kuelezea utapeli wa Barber Shops hapa mjini, kwa kweli ni makubwa na machafu jinsi watu walivyofunguka.

Watu walinyolewa kwa sh 80000, wengine sh 50000, kisa hawa wadada
 
Nimeku pm namba yake, wewe mchek ni charming, chura yupo kiufup anavutia sana

invest what you are willing to lose
Dalali uko vizuri kwenye kazi yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumbe na kero zipo, huwa naona wanaume wanalala kwa raha sana kwenye nyonyoz
Mara paaap, utasikia mdada anakuuliza umezidiwa(huku anacheki movie kwenye kioo), mwanaume naye anajibu ndio halafu anaambia ngoja nikusaidie.

Hapo mimi sipo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikilizia bill yake sasa, ni mzingaaaaaa
 
Back
Top Bottom