Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

Bob Manson

JF-Expert Member
May 16, 2021
837
1,577
Habari za jioni Wana Jf

Kwa wale ambao mara kwa mara mnapata huduma katika hizi saloon za kisasa, mtakuwa mnafahamu vyema huduma zitolewazo mule.

Baadhi ya saloon ukigoma kufanya scrub, utaoshwa kichwa kwa fujo na gadhabu kubwa.

Nayasema haya maana niligoma na nilinyoa upara sasa kakichovya kitambaa kwenye maji ya moto kikamshinda kakitupa kichwani kwangu.

Sijui kwanini wanapata makasiriko pale mteja anapo kataa kufanya huduma nyingine za ziada.

#BM
 
Mimi namalizana na kinyozi wangu... Akisha maliza kuninyoa namwambia tu anifute na anipake after shave na spirit then naondoka kwenda kuoga nyumbani.

Hao kina dada wana matatizo sana. Kwanza wengi wao hawana uweledi na wanachokifanya... Target yao ni kuwa uchi uchi na kukuamsha hisia ili ujichanganye wapate chochote kitu.
 
Back
Top Bottom